LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Courtesy of @kenyapics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinge kuja hapa ninge shangaa!Eroo, dogiage! Hapo sasa.
Simply amazing.Courtesy of @kenyapics
View attachment 1107199
FaizaFoxy wa alshababu.. Ramadan KareemSimply amazing.
Mimi Naona hicho kitu hakiwezekani kabisa it must be photoshopCourtesy of @kenyapics
View attachment 1107199
It's real, distance na angle ya camera vinachangia!Mimi Naona hicho kitu hakiwezekani kabisa it must be photoshop
Haha! [emoji1] Thubutu kuiga ufe. Long'ui huwa hamjui kuhusu hiki kiatu halisi cha mwanaume.Usinge kuja hapa ninge shangaa!
Hivi, Kabla ya wakoloni kuja na magari yao, wamaasai walikua wavaa nini miguuni?Haha! [emoji1] Thubutu kuiga ufe. Long'ui huwa hamjui kuhusu hiki kiatu halisi cha mwanaume.AirMax! 😎![]()
Walikuwa wanavaa socks. 😎Hivi, Kabla ya wakoloni kuja na magari yao, wamaasai walikua wavaa nini miguuni?
Hahaa..Hizo anavaa babu, baba na mjukuu. Kuna mwenzako aliluka kama hivyo alivyo kua ana tua bahati mbaya fimbo lake likamchoma m*und*ni! Alikimbizwa hosp, maana fimbo ilitokea kwenye tumbo...Haha! [emoji1] Thubutu kuiga ufe. Long'ui huwa hamjui kuhusu hiki kiatu halisi cha mwanaume.AirMax! 😎![]()
😂😂😂😅😅😆😆kumbe hadithi za abunuwasi bado zipo ..nimecheka sana😆😆😆Hahaa..Hizo anavaa babu, baba na mjukuu. Kuna mwenzako aliluka kama hivyo alivyo kua ana tua bahati mbaya fimbo lake likamchoma m*und*ni! Alikimbizwa hosp, maana fimbo ilitokea kwenye tumbo...
Hiyo ni true story[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]kumbe hadithi za abunuwasi bado zipo ..nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38]
Ufupi nao ni tatizoEish,That's high...I don't think I can do half as high....
Wewe unaitwa na mkeo aku WAX hayo mavuzi yako. Yanasababisha unuke mzoga wa mbwehaUnaitwa kule ukaone jamaa yako amehukumiwa kifungo Cha maisha amebaka Mtoto mdg
Kumbe umejificha huku we bibi