A Samburu warrior clearing some serious air at the dance.

Hahaa..Hizo anavaa babu, baba na mjukuu. Kuna mwenzako aliluka kama hivyo alivyo kua ana tua bahati mbaya fimbo lake likamchoma m*und*ni! Alikimbizwa hosp, maana fimbo ilitokea kwenye tumbo...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†kumbe hadithi za abunuwasi bado zipo ..nimecheka sanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…