A serious friend is needed

A serious friend is needed

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,748
Reaction score
3,229
Habari za majukumuu wakuu
Naomba niende kwenye maada mm ni kijana wa kiume umli 19 nimejiajili na kazi za apa mjini natafuta rafiki wa kike wakuchat nae kubadilishana mawazo na kupeana ushaur(mapenzi itategemea) vigezo umri17--19 awe jijini mbeya ikiwa mjni ni vizuri kwa alie tayar aje in box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dogo piga kazi
 
Pambana na hari yako tauta pesa kwanza warembo tupo
 
kijana hamna wanaocheza cheza vikopo, dama, ukuti na kombolela hapo mtaani au siku hizi hamna disco toto

huku wapo watu wazima
 
Back
Top Bottom