The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
dogo piga kaziHabari za majukumuu wakuu
Naomba niende kwenye maada mm ni kijana wa kiume umli 19 nimejiajili na kazi za apa mjini natafuta rafiki wa kike wakuchat nae kubadilishana mawazo na kupeana ushaur(mapenzi itategemea) vigezo umri17--19 awe jijini mbeya ikiwa mjni ni vizuri kwa alie tayar aje in box
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa zipo na zinaendelea kutafutwaPambana na hari yako tauta pesa kwanza warembo tupo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Domo Zege likikomaa linakuwa Dume Suruali.
Mhhhhh ii nayo kashfakijana hamna wanaocheza cheza vikopo, dama, ukuti na kombolela hapo mtaani au siku hizi hamna disco toto
huku wapo watu wazima