A serious gentleman, understanding person click here!!

You've characters I like.
Too bad I'am under 35 yrs.
Good luck @sweetapple
 
Mtaani umekosa, Kanisani umekosa, Kazini umekosa, Chuoni ulikosoma umekosa, hata kwenye jumuiya ndogondogo i mean misibani harusini n.k. umekosa? JF utapata?

All the best
 
Haya MAN fursa hiyo imekufuata mpaka ulipo, bahati iliyoje hiyo.
Nimependa kujiamini kwako Bi dada.
Boy subirini wakati mwingine ha ha ha ha...
Kila la kheri usisahau kuleta mrejesho wa hii thread.
 
Mtaani umekosa, Kanisani umekosa, Kazini umekosa, Chuoni ulikosoma umekosa, hata kwenye jumuiya ndogondogo i mean misibani harusini n.k. umekosa? JF utapata?

All the best
Mtu kama wewe nilikuwa nakusubiliaa saana kwa hamu ucomment hapa kwenye page yanguu..ukinijibu hili swali nitashukuru kwani haooo uliowasema hawana Simu za mkononi zenye kuwezesha JF?Na jee wamiliki Wa Jf umewashauri wafute hili jukwaa kwa kuwa linakukera??Na Jee tukisema wotee tukaee kimyaaa hili jukwaa litakuwepo??Na Jee ni kwa ninii hili jukwaa lina wasomaji wengi ukiwemo wewe?Na jee ni Mimi Wa kwanza kutafuta humuu?Na jee hakuna hata mmoja aliyewai kupata mwenza humu ni Mimi Wa kwanza ndo maana umepatwa na mshtukoo??na Jee umelazimishwaa kuclick kwenye Uzi wangu...na Jee ni lazimaa saana ufunguee jukwaa hili kama linakuboaaa??na he. umri wako miaka mingapi huenda upo primary au sec school sasa hujui which is which...Ulimwengu umebadilikaa ndugu.
Kwa kifupi...ukiona kituu hakikuhusu boraa kukaa kimyaaa tu
.itakusaidia kuondoaaa stress zakoo...Kama hupendi wewe na wenzako wenyeee mtazamo huyoo ni boraa mkaandamana Huenda wamiliji Wa Jf wakafuta jukwaa hili..Thanks.
 
Kujipu pm ntaanza kesho...Lazama nitoe muda mzuri Wa kuchanganua..na mlio na negative view pia ntawajibu ila walengwa ntaanza kesho na pia nikimpata mlengwa ntawekwa wazii ili wengine wasiendelee pia hii sio utani kwamba nimkubalu MTU yeyote mapema hapana kuna vigezo ...Nipo serious kama nilivyosema unayetania plz better go other thread.Thanks.
 
Unaharibu hali ya hewa mkuu,mbona kaweka vigezo simple tu
Kweli bwana anaharibu. Yaani kuna watu wameumbwa midomo ya kunuka tu hata apige mswaki vipi. Sasa hapo Bidada kakosea wapi jamani. Kama huna sifa why don't you just keep your f.. Shut and let others do the work!
 
Masharti yamekuwa mengi ka unatoa job vacancy khaaa...endelea kuchagua my d utachagua koroma
 
Hivi @cleverbright hapa 'hufit' kwa vigezo au?
Nikujuavyo umeshaibuka huko PM kwa mdada zamani sana,haiwezekani mambo kama haya yakupite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…