Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Yaani ndugu yanguu kuna watu humu wanaweza kusababisha MTU akakosa mume ..maana unaweza mjibu vibaya na ikaonekane mbaya....ivi kama huna vigezo so basii?? Nafasi yenyewe ni ya MTU mmoja lakini anacomment kama ametoka kupokea barua ya kufukuzwa kazi of is in I..why?? Inasikitisha saana nineona hata wadada wenginee wanavyokatishwa tamaa no wander wadada hawajitokezii wengi..Au cha ajabu ni kipi..mi sijaficha kitu..na nimeweka wazi ili kutowasumbua kwenye choice ya mabinti wadogo au wasiozaa mi tayari nilishazaa na nikawrka vigezo..na sio kwamba MTU akija humu ndo hukoo alikoo hatongozwiii hapana tena tunafanya kukimbiaa OK..anayejua mahusiano atajua namaanisha ninii uhusiano haupo ivyooo...kwani Mandela aliyeoa akiwa na umri ulee ni kwamba alikosa zaamani...kwenye life so much things happening unexpected....in a way you can't force .Kweli bwana anaharibu. Yaani kuna watu wameumbwa midomo ya kunuka tu hata apige mswaki vipi. Sasa hapo Bidada kakosea wapi jamani. Kama huna sifa why don't you just keep your f.. Shut and let others do the work!
Refer to my thread.Am five feet 7 inches tall, black in color. 66kg body weight. Hicho kimo changu chafaa?
Ndugu yaangu Nashukuru kwa comment yako..pia nakupa hongera kwa wewe uliyempata mwenza kwa wakati ila Mimi naamini Soon ntampata And You will be first to be told.....Life is undefined my friend..have good day.Hahahahahaa utazeeka ukisubiri
So no one is perfect....Sorry I mean H.I.V
Hahahaaaa...jambo la kushtusha kuwahi kutokea nchiniKhaaaaaaa......!!
Let me pass like shadow. I m short and we don't in hobbies. Me, I only watching football matches
Ha-ha!!nadhan atakua amemaanisha wenye Bachelor.....hv vifupi now days ..khaUnataka mwenye BA au MA... sisi wenye BSc na MSc ndo imekula kwetu??
AS TOPIC says...I NEED a man mentioned there if you are
there with no one just turn this way!I WANT a person whom we can settle down and start a family together.
The fist thing he must agree for HIV TEST,
AGE....HE must start from 35......43.....
Appearance...black in color,tall,neither fat nor thin,Employed at least for 5......years...I MEAN YOU HAVE to be INDEPENDENT.A CHRISTIAN a MAN not A BOY!!
...............................................................
.....................................................................
...............................................................................
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
IF happen that you have a kid worry out atleast 1 KID I will take care of him|her like mine
Bad behavior like drinking too much,smoking too much,it is tot acceptable...at least a little.with M.A OR BA
ABOUT ME;
Pensionable,Government Employee,32 years,brown in color,not tall or short(moderate)figured woman(not huge)independent woman with 1 Girl kid.
Hobbies;
Cooking,reading Novels,watching Episodes,Movies,swimming,Traveling and Gardening flowers.
N.B
please IF YOU NOT fit in there just pass like shadow,
My no.Pic and many more we will keep in contact through whatsaap.
Have a blessing and lovely Day.