A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Wewe ndio uje PM tuone kama una align maana requirement zote ulizoandika unaweza pata na usiwe na alignment kitu itakuletea ndoa yenye stress tu .. tafuta alignment kwanza ..
 
Niko hapa njoo tuyajenge
 
I want to be with you but the problem is I've so called 'big dushelele' and I don't think if you can tolerate it.

Even prostitutes consider it as intolerable one.
 
Mmmh m nilishangaa Mwaka MMOJA anapiga namba Yangu mdada MMOJA aliiandika kama hivi pdidy pande zipi

Nkawaza SIJAWAHI Hawa namba Yangu humu kapataje

Nkamzimia kama mwezi NKASEMA naijua hio nkawasha nkakuta msg Niko pande zipo tabata barakuda nkamjibi Niko mbinga

All d best
 
Bado unapumua maisha hayajamaliza kukunyoosha,yaani bado unathubutu kuweka standards? Khaaaaaaaah
 
Wazee tumetengwa, again...wazee tunatengwa sana!!
Mtu kachelewa ila bado anaweka standards as if ana miaka 19. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Manunuzi ya jioni muuzaji huuza kwa bei yoyote.
 
Wazee tumetengwa, again...wazee tunatengwa sana!!
Mtu kachelewa ila bado anaweka standards as if ana miaka 19. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Manunuzi ya jioni muuzaji huuza kwa bei yoyote.
 
Unahisi atakua ni nani huyu kaamua kuja na id mpya?
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana sisemi mtu mimi ntaonekana snitch πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…