vigenzo na masharti kuzangatiwaHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Kabisa huu ni ubaguzi.....lakini ngoja tumpe muda......ataongeza umri....Ref.Mzee Mengi RIPWazee watufikirie hakika
Mayai yapooo?toa ushauri sasa niufanyie kazi
Huyo ni mganeKama mkewe kafariki kamwachia mtoto?
Hivi samahani lakini nina swali,kwanini usiishi tu peke yako maisha yatakua mazuri tu hiyo age uliyoitaja hapo kwa wanaume ni age zile wanakaribia uzee na wewe inaonyesha umri huo huo,wewe achana na presha za mahusiano sahivi huu ni muda wakumjeukia Mungu wako uwe na amani ule vizuri uvae vizuri unasukuma ndinga life is sweet bila stress,pia huko makazini,mitaani,sehemu za ibada hujapata mtu kukusogelea muwe hata marafiki kwanza? Naamini ipo njia ya kuwa mwenye furaha tena zaidi ya walio na mahusianoHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Mods nisaidieni, piga ban huyu mchochezi.Patachimbika, siwezi kubali kumpoteza Prisha wangu..
I'm proud of it. It's something special for mishangazi but for generation Z no.But that's not funny, go seek treatment..
Kwanini wafanya hivyo? It's not funnyMods nisaidieni, piga ban huyu mchochezi.
CongratsI'm proud of it. It's something special for mishangazi but for generation Z no.
Ahsante kwa ushauri ,unajua kila mtu Ana imani yake naamini kuwa na familia niwe na mume wangu na furaha yangu itatimia kama nikitimiza hili,umri umeenda kweli siyo utani ila ndiyo natafuta mtu wa kuzeeka naye pamojaHivi samahani lakini nina swali,kwanini usiishi tu peke yako maisha yatakua mazuri tu hiyo age uliyoitaja hapo kwa wanaume ni age zile wanakaribia uzee na wewe inaonyesha umri huo huo,wewe achana na presha za mahusiano sahivi huu ni muda wakumjeukia Mungu wako uwe na amani ule vizuri uvae vizuri unasukuma ndinga life is sweet bila stress,pia huko makazini,mitaani,sehemu za ibada hujapata mtu kukusogelea muwe hata marafiki kwanza? Naamini ipo njia ya kuwa mwenye furaha tena zaidi ya walio na mahusiano
Ahsante kwa ushauri ,unajua kila mtu Ana imani yake naamini kuwa na familia niwe na mume wangu na furaha yangu itatimia kama nikitimiza hili,umri umeenda kweli siyo utani ila ndiyo natafuta mtu wa kuzeeka naye pamoja
Thanks.Congrats
Ahsante sana nimechukua ushauri👏Sawa kila la heri dada chagua kwa busara wapo ila zingatia mchujo na sifa unazotaka usije ukaokota takataka badala uzeeke nae kwa amani na furaha ndiyo anakuja kuwa mwiba na uchukui maisha kabisa, muombe Mungu atakae kuja aje na ishara nzuri ambazo utazitambua haraka ukapate hitaji lako,all the best ukiona vipi ishi single tu furahia maisha
Yes it's okAm 43, can i Dm?
Thank youAll the best.
Nimepokea ushauri na nimetoa vigezo vyoteMtu kachelewa ila bado anaweka standards as if ana miaka 19. 😂😂😂😂
Manunuzi ya jioni muuzaji huuza kwa bei yoyote.
Nasubiri tangazo lako eng.. niwe mgombeaKila la kheri kwako, na ufanikiwe ktk hitaji lako.