Tukuachie kaka au?Wajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Mkuu hapa vigezo vimenishinda ila wajumbe nimewaita watakuja kutoa neno.Tukuachie kaka au?
Intelligent anafit vigezo π€£π€£Wajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Huyu naomba mumuachie ndugu yangu Mad Max, maana wana endana uzungu mwingiπ¦Wajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Mchawi umri kaka, Prisha aki punguza punguza ata nishawishiππ¦Intelligent anafit vigezo π€£π€£
MrejeshoHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
HahahaHuu ni ushauri tuu ukiona kingereza kingi hivi kimbia kijana, hafai huyu
Ngoja tuendelee kupitiapitia mkuu atapatikana tu.Hapo umri umenifelisha kaka, mimi nataka wa 20-29.
Awe nayo nini mkuu, nisanue!Ngoja tuendelee kupitiapitia mkuu atapatikana tu.
Unataka awe nayo au hatakama hana?
Dah! Ile ambayo anakuwa nayo toka utotoni kabla hajaipoteza ukubwani.Awe nayo nini mkuu, nisanue!
SWADAKTA MKUU hio akiwa nayo itakuwa poa sana...Dah! Ile ambayo anakuwa nayo toka utotoni kabla hajaipoteza ukubwani.
Basi tuendelee kupitiapitia humu watakuwepo, nguvu iongezeke bila kuchoka.SWADAKTA MKUU hio akiwa nayo itakuwa poa sana...
Kwa humu jf, ni ngumu na haiwezekani ππ¦SWADAKTA MKUU hio akiwa nayo itakuwa poa sana...
Kwa humu jf ni ngumu na haiwezekaniDah! Ile ambayo anakuwa nayo toka utotoni kabla hajaipoteza ukubwani.
Unamaanisha wa humu mileage zinasoma nyingi.Kwa humu jf, ni ngumu na haiwezekani
Sija sema hivyo, Mungu nifundishe kunyamaza ππ¦Unamaanisha wa humu mileage zinasoma nyingi.