A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

ni kweli nna uhitaji, kama kuna kigezo kimepungua still tunaweza kuzungumza, naamini kama ni ujobless ni suala la muda tu siku mambo yatakua sawa ,muhimu ni kuwa na mipango thabiti
 
Hi Brother Short.😃 Usijali hizo Condition zake, Nenda Jaribu Bahati yako . Hawezi pata mtu wa age hiyo awe Employed au Business nini sijui , Na visifa zingine nyingi nyingi . halafu bado awe Single Hayupo🤣🤣
Atasubili Sana tena asiwe na mtoto...
 
Baada ya kuitembeza vya kutosha, anatafutwa simp aliyehangaika kujijenga kwa miaka akahangaike na emotional damages and traumas na shimo. 😁
Usimhukumu mtu sana,kuwa na umri mkubwa haimaanishi kuwa huyo mtu alikua mhuni.
 
Nimeupokea ushauri wako, thank you
 
Siyo kweli
 
Hello Prisha
Niko hapa kama utakuwa interested kuwa mchepuko wangu until utakapo pata mtu wa kukuoa ili usiteseke coz nishaoa.
1. I'm Christian, tall and black
2. I'm a family man tayari nina mke na watoto 3 + nishafanya vasectomy so usiwaje kuhusu kukupa mimba
3. I own my own businesses and so so
4. Nitakupangia apartment sehemu utakayo hitaji+ monthly allowance pamoja na upkeep zingine.
5. Jiandae kwaajili ya alot of vacations kwasababu ya nature ya shughuli zangu huwa nasafiri sana, hapo uwe na passport, international driving licenses, certificates ya homa ya ini, na manjano pamoja na cheti cha Covid 19
Kama utakuwa interested njoo PM
 
Sema huyu msakaji nimemkubali, yuko bampa to bampa na uzi wake kukabiliana na comment nzito nzito zenye ncha kali.
Wengine hiwa wana post tangazo halaf wanatoka nduki, commend wanasoma kwa mbaaali😂😂😂
Comments nzuri na nzito ni muhimu kumpa mtu uimara, so nitazipokea zote positively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…