A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Kila lililo la kheri liwe na wewe
 
huyu mwanaume unayemsemea hapo ni mimi kabisa, ila shida ni kwamba kipato changu kidogo kwa sasa, 2.8M/= per month haiwezi kututosha mimi na wewe, au utanivumilia hivyo hivyo na hali yangu duni
Hiki ni kipato kikubwa kabisa na kitatosha, pia palipo na ndoa na maelewano Mungu anaongeza riziki, atatujaalia zaidi kadri ya bidii zetu, if you're serious karibu
 
33 bila mtoto! Umechomoa mimba kibao unataka uanze kumsumbua mtu atumie pesa zake kukutembeza kila Kona ya dunia kupata mtoto! Mkuu malizia tu safari yako mbona life lenyewe fupi
🀣🀣🀣🀣
 
Miaka 33 with bikira !? Acha basiiii πŸ€£πŸ˜πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…