A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Ngoja nijaribu bahati yangu.
Naweza kuwa na fainali nzuri kama SIMBA SC.
Mwanamke mwenye 30+ haujaribu bahati wewe ndio unamsaidia. Hapo bidada maji yapo shingoni calculation alizopiga zote zimekataa.
 
Hi Brother Short.😃 Usijali hizo Condition zake, Nenda Jaribu Bahati yako . Hawezi pata mtu wa age hiyo awe Employed au Business nini sijui , Na visifa zingine nyingi nyingi . halafu bado awe Single Hayupo🤣🤣
Duh mbona mimi sifa ninazo na nipo single
 
What is your height Prisha? What height is tall for you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…