Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar.
Nimeajiriwa.
Hapana sipo[emoji85] [emoji85]Ashaskia Huyo. Upo lkn
[emoji109] [emoji109] Naomba hadi kwenye miamala usiwepoHapana sipo[emoji85] [emoji85]
Daby Ulikua wapi[emoji15][emoji109] [emoji109] Naomba hadi kwenye miamala usiwepo
Karbu
Asante nikaribie wapi sasa?Karbu
Kwa siku ya leo ninyi ndio mmefanya nicheke sana kuliko kawaida. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Yaani wewe
Shkamo mchepuko wangu...
Thubutuuuuu! Huko niko available 24/7[emoji109] [emoji109] Naomba hadi kwenye miamala usiwepo
Huko ni kuoneana sasa... nalendwa msalimieThubutuuuuu! Huko niko available 24/7
Duuuh!!!! Kakupigia Mkuu?Habari Monie , Naitwa Emmanuel miaka 32. Tunaweza kuwasiliana no yangu ni 0752353146
Kwa kuwa nahitaji mshahara wako huo ni lazima huko pmIam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar.
Nimeajiriwa.
Michepuko[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa hivi nimeokoka, nimeipiga kibuti michepuko yoote.Michepuko[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Afadhali na hongera. Now I can confess[emoji8]Sasa hivi nimeokoka, nimeipiga kibuti michepuko yoote.