A serious Woman to join in marriage!!!

grand-mal

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
337
Reaction score
176
Mimi ni mwanaume, 37 years of age, ni baba wa watoto wawili, wote wa kike, nimezaa na mwanamke mmoja, watoto wote, aliyekuwa mke wangu kabla ndoa yetu haijavunjika (sababu baadae). Nina masters degree ya udaktari , nafanya kazi katika hospitali moja ya mkoa. Natafuta mtu wa kumaliza nae maisha.

Napenda mwanamke mwenye angalau first degree, a teacher, banker, economist. Mwanamke mwenye lifestyle ya wastani, umbo la wastani, si mnene si mwembamba sana, mrefu wa wastani, mcha mungu, mpenda watoto, she is going to be a mother of my daughters (ingawa kwa sasa watoto wako kwa mama yao).

Asiwe medical personnel or soldier or lawyer (from friends' and my own past experince with women of these carriers - mtazamo wangu lakini si kwamba ni wanawake wasiofaa).

I promise to be the best husband one can be proud of, of course for the best wife.

Interested? PM me.

Update 23/02/2013
Wanachungulia wanasepa, so far bila bila, sijui nitoe deadline, anyway ngoja niendelee kuvumilia.
 
hii certificate ya cooking inaninyima mengi jamani
ngoja nisome madiploma kama nape nipate mume mie!
 
hii certificate ya cooking inaninyima mengi jamani
ngoja nisome madiploma kama nape nipate mume mie!
Pole smile, siku hizi madegree ni sifa ya ndoa jamani.
 
Ha ha ha ha!!malawyer wanaonewa jamani!!dah..
 
form six au cerificate hututaki mkuu?
If you can be a form six with Mnyika's intellectual ability, ur welcome, kwa kuwa saa nyingine kuna PhDs with Nape's intellectual ability, elimu ni kigezo but not that strict. Napenda misosi i can consider ur certificate in cookery. PM me pls.

There are some jokes in here but am seriously looking for a woman to call my wife.
 
nilifaulu sema home uwezo hakuna so utanisomesha sio maana sifa zote ninazo na za ziada .yaani utafurai kunipata
 
nilifaulu sema home uwezo hakuna so utanisomesha sio maana sifa zote ninazo na za ziada .yaani utafurai kunipata
Smile, PM me if u think u have the qualifications of being my wife.
 
dah! Urefu umeniponza, kadigirii kapo ila sio hizo unazotaka. Mwe! Haya wacha wenye vigezo waje ulingoni.
 
kumbe wa zamani eeh?

I bet,
Aiweke wazi ili tujue misimamo yake, isije ikawa ni mtetea tigo au anayeamini mwanamke mmoja hamtoshelezi mwanaume.

Ka vipi asubiri nasi tufungue ID Mpya halafu tuje na story kuwa mimi ni virgin au nimekuwa na mwanaume mmoja tu akanitenda! LOL
 
toka nae huyu doc matibabu bureee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…