Can we say that we have a confirmation process? Somebody reads a third rate speech and sweeps the floor just like that?
No questions asked no nothing? Open campaigning by the Speaker?
Is this what we call a confirmation process? Or is it more like a rubber stamp parliament?

Nakubalina na wewe Pundt lakini wakiamua kufanya kweli wanaweza; au yale ya jana hayajaku-convince?
Nakubalina na wewe Pundt lakini wakiamua kufanya kweli wanaweza; au yale ya jana hayajaku-convince?
Tatizo langu ni kwamba tumemtoa Lowassa halafu tumemuweka "mtoto wa mkulima" ambaye naaamini wabunge wengine wamempigia confirmation vote bila hata kumjua. Hakuweza hata kuulizwa viswali viwili vitatu tuone misimamo yake?
Kama tungekuwa na confirmation process ya kuuliza maswali labda Lowassa 2005 angeulizwa kuhusu kashfa zake za rushwa Wizara ya Ardhi na watu wasingemkubali. Hii rubber stamp process ndiyo inatufanya tupate mawaziri wakuu bomu wanaoabisha kama Lowassa.
Jana as far as I am concerned is just political machination, ukitaka kujua angalia kama Lowassa na wenzake watachukuliwa hatua zozote.
Kikwete mwenyewe anahusika na IPTL halafu unafikiri yuko serious kwenye corruption? Mi naamini Lowassa ali overstep his bounds na kumfanya Kikwete kuwa insecure ndiyo maana kaondolewa, siyo rushwa kama Kikwete anavyotaka tuamini, kuna rushwa ngapi zimetembea?
Lets face it. We now have a government that we cannot hold to account in any way whatsoever. JK is behaving as if he is no longer in charge.
We're on the road to nowhere ...
Hii confirmation process lazima ibadilike. Wabunge wapewe nafasi ya kumuuliza maswali aliyependekezwa hata kwa siku mbili au tatu kama kuna maswali mengi yanayoweza kutaka extra days. Haya mambo ya kumpitisha mtu bila hata swali moja la kujua misimamo yake katika issue mbali mbali yamepitwa na wakati.
Hata mimi nakubaliana na Pundit, yaani Waziri MKuu mtarajiwa haulizwi hata misimamo yake kuhusu mambo mbalimbali yanayoihusu nchi ili hapo baadae akishindwa kufanya watu wawe na evidence za matamshi. Hii process iko too general yaani sioni hata umuhimu wa wabunge kupiga kura.