Hizi sofa ukimpata fundi mzuri anakuchongea, tena kwa mbao za mpingo linaoendeza sana.Kwakweli mimi ni mpenzi wa sofa zenye miguu yenye nafasi kubwa ya uvungu hata hivyo hiyo design NI nzuri sana sema bei kali nayapenda sana ya aina hii
View attachment 1987783