A stingy man Will make a stingy husband (Wanaume ubahili sio sifa nzuri)

I can feel you. Mwanaume wa hivyo unamuheshimu mpaka unaingia kaburini na dua njema unamuombea kama zote.
 
Mwanaume akiwa na hela na akikupenda anatoa tuu, hamna cha ubahili wala nini...tatizo mna complicate sana maisha na mahusiano, yani kila demu ale tuu hela zangu...luna mahali nnaziokota ama??
 
Nashukuru sana kwa Dua zako X wangu, inshaallah mungu amesaidia hapa nilipo sina jinsi zaidi ya kushukuru. Japo nilipenda tungekuwa wote ila sasa nimejaaliwa mke na watoto wazuri. Maisha ni safari lakini yote mipango ya mungu.
Mungu akufanyie mema katika familia yako X Wangu.
 
Huo ndo ukweli mkuu alafu ukionga roho inauma hata cjui n nn wakat hela yenyewe ndgo.
Ila mm naona natural kwann asilimia kubwa hutokea kwa wanaume wengi.
Mnatumia neno kuhonga ili kuhalalisha kua ni jambo baya. Official girlfriend hahongwi ni kama mke tu huwez sema namuhonga mke wangu.
 
Run my dear hawabadilikagi hao utajipa moyo miaka inaenda yupo vile vile.
 

Kiukweli mimi kwenye mahusiano ni mtoaji mzuri ila ni baada ya kuona muelekeo wa mwanaume.kama hajawahi nifanyia chochote a anafasi nzuri kiuchumi kuliko mimi na mimi pia nakua mzito.
Labda kweli alinichukulia kama kipozeo ingawa alikua akiniambia tofaut.
 
Kumbe kile nilichokisema siku ile ni kweli! With time tutaelewana tu extrovert!
 
Haya ndiyo maneno sasa! Mngekuwa mnaongea hivi kila siku mbona mngeeleweka kuliko kujifanya mnakuwa toxic and bitter!
 
It's English that's why I talked about grammar and spelling.I got tired writing that's why I put those few Swahili sentences.I will be using English to post my thread as a part of improvement.
That's your man not all men.
 
Yes kama ubahili unatokana na kutokua nacho na unakilinda kile kdogo ulichonacho sio tatizo na hata mwenzio atajua. Na hua mkipata mnabadilika mnakua watoaji wazuri.

Shida ni wale mtu anapesa ila ni mchunguu hatoi pesa hata useme nini. Ukikaa nae anakazi ya kukuonesha vitu vya thamani alivyonavyo basi.
 
Mwanaume akiwa na hela na akikupenda anatoa tuu, hamna cha ubahili wala nini...tatizo mna complicate sana maisha na mahusiano, yani kila demu ale tuu hela zangu...luna mahali nnaziokota ama??
Kwahio una wanawake wengi ? ila pesa unampa unaempenda wengine hapana.Sio sawa unawaumiza tu hao usiowapenda ungewaacha labda wangeshapata wanaowapenda.
 
Kwahio una wanawake wengi ? ila pesa unampa unaempenda wengine hapana.Sio sawa unawaumiza tu hao usiowapenda ungewaacha labda wangeshapata wanaowapenda.
We una wanaume wangapi hapo ulipo?
 
kuna utofauti wa kuhonga na kutimiza majukumu ya kuhudumia familia..
Girlfriend ni familia yako tarajiwa so kumpa huduma ndogondogo ni vzuri kunakuandaa kuja kutake over kuhudumia familia. unaanza kujua changamoto za kuwa na watu wanaokutegemea. Pia inaimarisha mapenzi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…