A stingy man Will make a stingy husband (Wanaume ubahili sio sifa nzuri)

Ila wengi husema hapa hawawezi mpa mwnaamke yeyote pesa.
Na kama mtu hujampenda upo nae wanini ?
Sio Kila mahusiano lazima yahusishe UPENDO ndani yake.

Unaweza kua na mahusiano na mwanamke, ili mradi TU mambo yako kazini yaende sawia( Kama Ni boss).

Unaweza kua na mwanamke kimahusiano, kwa sababu marafiki au Ndugu zako au wazazi wako wanapenda kukuona nae.
Kwaiyo Utakua nae kuwaridhisha watu flan flan.

Unaweza kua na mwanamke kimahusiano, kwasababu TU anajua kukata kiuno kitandani, unafurahia Sana huduma yake kunako 6×6.
Ila hauna Upendo nae kabisa.

Unaweza kua na mwanamke kimahusiano, kwasababu TU unamuonea huruma, anakupenda Sana kias kwamba ukimuacha anaweza kujiua.
Kwaiyo unakua nae TU Kama daktari wa vichaa anavoishi na wagonjw wake.

Unaweza kua na mwanamke ili mradi TU mambo yako flan flan yaende sawa, wanaita "KUTREND" au "KIKI".
Hii inatokea Sana kwa wasanii,
Mimi Ni underground, ila najua nikitoka kimapenzi na WEMA SEPETU ntakua maarufu na mziki wangu Utakua.
Hii imetoke pia hata kwa HARMONIZE alipodate na WOLPER, au Diamond kwa WEMA au ZALI

Unaweza kua na mwanamke kimahusiano ili mradi TU lengo lako na wewe UONJE utamu wake.
Hii inawatokea Sana wale wadada maarufu,
Watu wanataka TU kuacha sahii kwamba na Mimi nliwahi kupita pale.

HITIMISHO:
Omba Sana mungu akupe chaguo lako,
Wanaume tuna Siri nyingi Sana vifuani vyetu tunapokuja kuwatongoza.
 
That's too bad ila nmeshaelewa kua msipotupenda hamtuhudumii. Wanawake wenzangu mmewasikia hawa wanafanya ubahili sababu hawatupendi kwahio na sie tusilazimishe tukiona hali hizi tukimbie kwa miguu yote. Nashukuru mungu nilifanya maamuzi sahihi kumuacha.
 
Dah
 
Sex/love in exchange for money or gift is prostitution. Mtangaze bei kabisa tujue kuliko kujenga hoja za kujistify ukahaba, haki ya mwanamke kupewa hela na zawadi tu!!!! Mkiambiwa mfue na kupika mnasema ni mambo ya kizamani na utumwa sasa haki sawa, haki sawa iwe ktk hela pia, wanaume tuamke na makahaba wanaojificha ktk kichaka cha mapenzi. Kama kuitwa bahili wacha uitwe usipoteze hela kwa makahaba siku ukifilisika ndiyo utajua hakukuwa na mapenzi utakimbiwa.
 
Kwahio wewe mkikutana mnasex na kuhave funny tuu..shida na matatizo yake hayakuhusu. Wewe upo nae kwaajili ya raha tu umemaliza.

Hata ukiona kiatu kizuri na unajua kitampendeza huwezi mchukulia. Yeye kujiweka vizuri nywele, mavazi akiumwa ni juu yake hayakuhusu. What a selfish man. I feel sory for your girl.
 
Ni kweli kabisa ila sema wanaume wengi wameshaamua kutawaliwa na wanawake hivyo hawana misimamo yao wanabaki kuendeshwa na kupelekeshwa na akili za wanawake
 
Kwani nyie huwa hamuoni vitu vizuri huko vya kutuletea....?

By the way love sio batter trade ...its all about emotion and affection...hiyo love unayo itaka wewe hapa ungesema tu unataka sponsor basi
 
Kwanza nakupongeza, umeweza hiko kilugha, Hadi unaweza kukichezea kutuletea mambo kama haya...

Pili, hiyo content naendelea kuitafakari
 
Kwanza nakupongeza, umeweza hiko kilugha, Hadi unaweza kukichezea kutuletea mambo kama haya...

Pili, hiyo content naendelea kuitafakari
Thanks Korboto umenipa moyo wa kuendelea kujifunza.
 
Mwanaume akiwa bahili kuna pahala sio bahili sema tu hajakuweka kwenye ubinadamu.
 
Mwanaume akiwa bahili kuna pahala sio bahili sema tu hajakuweka kwenye ubinadamu.
Ndio nmefahamu hapa. Hope wanawake wenzangu Wote wanaowavumilia wanaume bahili wangejua hili ili waachane na hayo mahusiano.
 
Akili kubwa sana [emoji817][emoji110]
 
Hivi girlfriend wako ambae upo nae kwenye serious relationship utasema unamuhonga?
Serious relationship Inakuwa na element zipi ...Yan kitu gan kitakuonyesha this is a serious relationship...
 
Mnatumia neno kuhonga ili kuhalalisha kua ni jambo baya. Official girlfriend hahongwi ni kama mke tu huwez sema namuhonga mke wangu.
Kigezo kipi kitakuaminisha kuwa ww ni official girlfriend...
 
Tena kama unafanya mapenzi na mwanamke kwaajili ya kupunguza hamu na humpendi inabidi umlipe kabisa, maana anakufanyia msaada mkubwa.
Msaada kivp wakati raha mnapata wote ..mbona mnai overrate sex kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…