A stingy man Will make a stingy husband (Wanaume ubahili sio sifa nzuri)

Amezungumzia kufua ,kupika kufanya usafi wa ndani ..mnaona n mambo ya kizamani ... Lakini kupewa ,hela,zawadi outing ndo mapenzi ...hauoni hata nyie ni opportunistic by nature ..Yan mko kimaslahi ..ukiona hakuna Jambo unakimbia ....
 
Kwani nyie huwa hamuoni vitu vizuri huko vya kutuletea....?

By the way love sio batter trade ...its all about emotion and affection...hiyo love unayo itaka wewe hapa ungesema tu unataka sponsor basi
Anyooshe maelezo aeleweke [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tafuta zako
 
Amezungumzia kufua ,kupika kufanya usafi wa ndani ..mnaona n mambo ya kizamani ... Lakini kupewa ,hela,zawadi outing ndo mapenzi ...hauoni hata nyie ni opportunistic by nature ..Yan mko kimaslahi ..ukiona hakuna Jambo unakimbia ....
 
It's English that's why I talked about grammar and spelling.I got tired writing that's why I put those few Swahili sentences.I will be using English to post my thread as a part of improvement.
 
wewe umejiwekea hivyo sababu sio bahili. Yaan wanaume bahili ni wa ajabu hata uwe mwanamke unaejielewa anaona uchungu kutoa chochote. Ni kweli nilikua najielewa ndio maana nilikimbia mahusiano hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…