A syringe used to treat syphilis in 1545

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1627553785796.png

Suffering from a case of Syphilis? Don’t worry, the Tudor’s got you🥺

Syringe recovered from Henry VIII’s ship the Mary Rose which sank in 1545.
These syringes were often times used to treat syphilis by injecting mercury.

Syringes were used as urethral syringes, for treating diseases such as syphilis. However the use of mercury for such treatment and the fact that mercury corrodes pewter rather rapidly suggests that this pewter syringe was more likely used to administer a non-corrosive fluid such as rosewater, or acidic ones such as wine or vinegar, which were used for flushing out wounds. They could also have been used for draining fluids from the bladder.
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama taifa tumetoka mbali aiseee
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro kawahi chanjo kama ulikuwa kipindi hicho [emoji28]
 
Nimecheka kwenye dala dala mpaka abiria wenzangu wamenishangaa!
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bro kawahi chanjo kama ulikuwa kipindi hicho [emoji28]
Hahaha yani zamani bwana. Mie nakumbuka mzee katika elimu za hapa na pale alirudi na sindano moja toka Ujerumani (Magharibi/Mashariki) basi ndo ikawa sindano ya familia tunaenda nayo hospitali hiyo baada ya maza kuichemsha asubuhi. Mkirudi anaichemsha tena anaiifadhi mpaka siku nyingine/mtu mwingine

Na vile visindano vyenyewe vya kuchomea (needles ) vilikua vya kubadilisha viko kwenye kamkebe viko tofauti tofauti na saizi tofauti pamoja na katupa (file) ya kuvinolea makali

Vipo mpaka leo nikiwaonesha wanangu wanna iona mzushi tu nawadanganya
 
mzee una watoto wangapi?
 
si unakumbuka kulikuwa kunaweza kuwa na mwanakijiji mmoja anamiliki sindano, anachomea wote ila akimaliza kabla ya mwingine anaichemsha kwenye sufuria tunalopikia ugali, kazi inaendelea. na watu walikuwa wanapona kwa imani.
 
Nakumbuka sana mkuu dah tumetoka mbali sana
 
Umenikumbusha mbali sana..
Kipindi hicho Kule kijijin Dr akija kukutibu anachemsha sindano kwenye maji ya moto mpaka maji yachemke baada ya anaipoza ndio anakuchoma. Akishakuchoma anaondoka nayo anaenda kumchomea mwingne baada ya kuichemsha tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh wapi huko mkuu?
 
Mkuu hii hata Hospitali za mjini ilikua hivyo hivyo,Sindano zinachemshwa huko huko Hospitali,

Haya mambo yakuchangia Bomba za sindano yalibadilika baada ya ujio wa ugonjwa wa ukimwi kwenye miaka ya mwanzoni mwa 80s.
 
Hahaha yani zamani bwana. Mie nakumbuka mzee katika elimu za hapa na pale alirudi na sindano moja toka Ujerumani (Magharibi/Mashariki) basi ndo ikawa sindano ya familia tunaenda nayo hospitali hiyo baada ya maza kuichemsha asubuhi. Mkirudi anaichemsha tena anaiifadhi mpaka siku nyingine/mtu mwingine

Na vile visindano vyenyewe vya kuchomea (needles ) vilikua vya kubadilisha viko kwenye kamkebe viko tofauti tofauti na saizi tofauti pamoja na katupa (file) ya kuvinolea makali

Vipo mpaka leo nikiwaonesha wanangu wanna iona mzushi tu nawadanganya
Wahi chanjo mzee wangu wahi sana
 
Enzi hizo ukiugua Gonohorea unachomwa sindano ya dawa ya PPF ya ng'ombe. Ndio ilokuwa ina uwezo wa kutibu gono ya wakati huo.
 
Back
Top Bottom