Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
labda aamke nusu saa kablaMwanamke kwa dk 5 hizo Angekua bado anaset nywele,mpaka kukamilisha nusu saa na bado Kuna vitu atasahau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] kweli kabisaMwanamke kwa dk 5 hizo Angekua bado anaset nywele,mpaka kukamilisha nusu saa na bado Kuna vitu atasahau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe hiki ni kipaji?
ukute ndio nimelala na kitu kichwani alafu simu ya kwanza kunishtua labda bosi. naweza tumia mbili tuMbona 5 nyingi hivyo! 3 tu zinatosha..😂