A text from my x..

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
x gal friend wangu,anantext kila siku usiku,nimjibu nini?...anantel tu hello..Saa tano.
 
Kama ni tatizo si unamzimia simu...?kwani nani alikufundisha kupenda akashindwa kukufundisha a.b.c's za kuacha?
 
That is called socialising. Say Hallo to her. After all she is not your enemy. You are your own enemy.
 
Kama anakukera,ongea nae umwelewesha kuwa hutaki message kutoka kwake na amove on na maisha yake.kama unapenda mwache aendelee
 
Usimjibu kama unaona anakukera,otherwise,rudisha mtoto huyo.
 
Kama maji ni mengi na uliyavulia nguo, basi sharti uyaoge....!
 
mkuu!! inavyoonekana huyo mvua imemnyea huko alipo so anatafuta mahala pa kujihifadhi asiadhirike na kuendelea kulowa!!! we ni mtu mzima so nadhani unanipata nazungumzia nn hapa, kiufupi uamuzi unao wewe, kusuka ama kunyoa mana kupendana mlipendana wenyewe na sababu za kumwagana unazijua wewe mwenyewe... pima uzito wa mlochokuwa nacho kama wapenzi pamoja na fanya maamuzi kulingana na moyo wako... all the best
 
Kama anakugasi na hizo msg mwambie umebadili namba afu mpe namba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…