wanakulindaje na Cybertheft?Pole sana Ndebile,cha kufanya fungua akaunti crdb au backlays au benki yoyote nyingine itoayo visa/mastercard.
kwa crdb watakupa kadi na utazisajili kwa matumizi ya online then utaanza kufanya manunuzi bila wasiwasi.
backlays wakikupa kadi moja kwa moja wanakuwa wameiunganisha.
Baclays ni lazima iwe ya dollar?

Hapana,waweza fungua kwa tsh.

Kufungua akaunti ni laki moja...ila unaweza draw 80000...uzuri backlays kadi wapata ndani ya siku 3-4.

baada ya hapo waweza nunua online.

Crdb wanachukua wiki mbili hadi tatu kutoa kadi.
swali zuri sana subiri waje wajuzi