A TOUCH STORY ON MARRIAGE......What do we have to learn?

The Following User Says Thank You to Gwallo For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
I am glad you read it.
 
Baada ya kusoma hii story nimejikuta nafikiria vitu vingi sana, what a sad story if only watu wasingekuwa wanachezea ndoa zao
 
Sijaweza kuimaliza kuisoma but so painful
Sijui kama wako watu wanathamini ndoa zao the way walivyoapa siku wanafunga ndoa

Thanx Mkuu
 
very touching,
very sensitive
very nice
very beautiful
very emotional
very romantic
very sad
and thank you a lot for bring this up
hopeful most of JF member they will have time to read it.... thanx again
and practice it as well. Ok, it is a replica for i happened to read it two or three years back. All in all, it is fantastinc and very touching. Thank you.
 
Sijaweza kuimaliza kuisoma but so painful
Sijui kama wako watu wanathamini ndoa zao the way walivyoapa siku wanafunga ndoa

Thanx Mkuu
Yah!!! Mkuu we need to go back to the basics
 
Yah!!! Mkuu we need to go back to the basics

Mkuu sijui ila nadhani watu wanasahau nini maana ya ndoa na ni kwa nini may be mtu anaoa au anaolewa
Na je kile kiapo unachoapa kuwa nitaishi na huyu mtu for good and worse in happiness and sorrow wana maana gani
Watu wanayachukulia yale maneno kama ni story na hayana uzito wowote na kwa kuwa wanakuwa wanasubiri kwa hamu kuingia ukumbini kuwaonyesha ndugu na jamaa kuwa sasa nimehalalishiwa kupata kile ninachotaka for free hapo wanaona wale waapishaji wanawazingua na kuwapotezea muda
Taasisi ya ndoa imepotez amaana na ndo maana divorse ziko nyingi na cheating pia na walio kwenye ndoa wako desparate kutoka na walio nje wanaogopa sana kuingia kwa wanayoyaona
Maana kulala na mke wa mtu au mume wa mtu is not a big deal so mtu anaona duh niingie humo halafu mke wangu afanyiwe haya bora niendelee kuwa bachelor mzoefu ......................................Kama TF
 
Siku hizi imekuwa kawaida wala watu hawaoni kama ni kitu cha ajabu, wengine mpaka wanajisifia unategemea nini???
 
Siku hizi imekuwa kawaida wala watu hawaoni kama ni kitu cha ajabu, wengine mpaka wanajisifia unategemea nini???

Yeah na imekuwa so easy kumpata mke wa mtu au mume wa mtu na kulala nae
Sio kutamba na watu wanawatafuta sana wake za watu au waume wa watu maana wanajisifia wale walio kwenye ndoa hata akiwa na wewe atatulia
Ni kushindwa au kutotimiza kile kiapo cha ndoa na masuala ya muhimu katika ndoa kunakowafanya watu watoke nje ya ndoa zao
Na hapo ni kuwa ndoa za wengi zina mapungufu ambayo wanashindwa kuyamaliza wenyewe kwa wenyewe wanaona ni bora kutoka nje ya ndoa jambo ambalo sio la maana
 
I hope everyone play his role to make a marriage institution a better place sababu ni jambo ambalo limebarikiwa na Mungu
 
I hope everyone play his role to make a marriage institution a better place sababu ni jambo ambalo limebarikiwa na Mungu

Mkuu kama umeoa na kila siku unaona wasichana na wanawake wanapita barabarani na bado unawatamani na kutaka kuwavua chupi bado ndoa yako ina matatizo na huwezi kusema kuwa unaplay your role in marriage
Kama unarudi nyumbani na mke au mume hapati haki yake na hakuna heshima ndani ya nyumba kila siku ni ugomvi baina ya wanandoa huwezi ukazuia mmoja katika ndoa hiyo kutoka nje
Nina maana kuwa ndoa ibakie kuwa ndoa kila mmoja atimize wajibu wake katika kuhakikisha kuwa anatimiza lengo lililokusudiwa ambalo ni kuwa na familia bora ambayo kila mmoja anaheshimu matakwa ya mwenzake
kama ni mke atimize wajibu wake ambao utamfanya mwanaume wake kule aliko atamani muda wowote kurudi nyumbani kuungana na familia yake
Na kama ni mwanaume atimize wajibu wake ambao utamfanya mwanamke awe na tamaa au hamu ya kumuona mume wake mudda wote au akirudi nyumbani kuungana na familia yake
Naamini kila mmoja akitimiza wajibu wake kila mmoja hatakuwa na tamaa ya kukaa baa na kuangalia wauza bar wakoje au atamani kutoka nao au wanawake anaofanya nao kazi
 
Hii stori niliisoma wakati nikiwa form six. Nilijiapiza sitakaa nimtendee mke wangu ubaya. Sijawahi kumtendea, na naomba Mungu anijalie nisije kumtendea.
 
Hii stori niliisoma wakati nikiwa form six. Nilijiapiza sitakaa nimtendee mke wangu ubaya. Sijawahi kumtendea, na naomba Mungu anijalie nisije kumtendea.

babu kama umeweza kufanya hayo hongera sana
Ila huyu kijana aliyeleta story hebu mshauri shauri labda anaweza sikia ushauri wa Babu yake akafanya mambo
 
Hii stori niliisoma wakati nikiwa form six. Nilijiapiza sitakaa nimtendee mke wangu ubaya. Sijawahi kumtendea, na naomba Mungu anijalie nisije kumtendea.
Asante sana babu nafikiri vijana wataiga mfano kutoka kwako
 
babu kama umeweza kufanya hayo hongera sana
Ila huyu kijana aliyeleta story hebu mshauri shauri labda anaweza sikia ushauri wa Babu yake akafanya mambo
Lol!!! Nilijua hauwezi kuniacha hivi hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…