"A" TOWN SMART TRADE FAIR. (maonyesho ya kibiashara)
Karibu katika onyesho kubwa la kwanza la wakulima wa mbogamboga kutoka katika nchi za kusini mwa bara la afrika litakalo fanyika jumatano wiki hii katika viwanja vya makumbusho karibu na mnara wa mwenge jijini Arusha.
Lengo la maonyesho hayo ni kuwakutanisha wakulima wadogo wadogo na wafanyabiasha wa kati na wale wakubwa kutoka nchi mbalimbali za kusini mwa bara la Africa

Kauli mbiu: Jua Mahitaji ya Masoko zalisha Kibiashara
Tarehe 27/11/2013