"a" town smart trade fair.

lilkiwale

New Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1
Reaction score
0
"A" TOWN SMART TRADE FAIR. (maonyesho ya kibiashara)

Karibu katika onyesho kubwa la kwanza la wakulima wa mbogamboga kutoka katika nchi za kusini mwa bara la afrika litakalo fanyika jumatano wiki hii katika viwanja vya makumbusho karibu na mnara wa mwenge jijini Arusha.

Lengo la maonyesho hayo ni kuwakutanisha wakulima wadogo wadogo na wafanyabiasha wa kati na wale wakubwa kutoka nchi mbalimbali za kusini mwa bara la Africa

“Kauli mbiu: Jua Mahitaji ya Masoko zalisha Kibiashara”

Tarehe 27/11/2013


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…