A true definition of an abortion

A true definition of an abortion

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1132194
 
Okay miezi mitatu nakubaliana nawe. Unless kuna sababu za msingi za kiafya.
Yah kuna sababu kama downing syndrome lakini na wenye matatizo haya wanapinga kwanini mimba zao zitolewe na wao wana haki ya kuzaliwa
 
Kuna life threatening incidents ambapo aidha mama au mtoto atafariki au kupata madhara makubwa endapo ikiachwa kukua

Kama mama amegundulika na cancer, anatakiwa aanze chemo mapema na inaweza kuleta madhara Kwa mtoto.
 
Back
Top Bottom