Thika ndiyo wapi tena jmn?Volkswagen executives paid a courtesy call to state house where the president revealed that they intend to use the KVM plant in Thika to assemble vehicles, hili mnalionaje wadau?
Volkswagen executives paid a courtesy call to state house where the president revealed that they intend to use the KVM plant in Thika to assemble vehicles, hili mnalionaje wadau?
Haha kila kitu ni Kikuyu land tu kwa nini siyo Kisumu au Mombasa? Hata hivyo hongereni kwa hilo!
Wewe ukabila utakuua, Kisumu kuna vehicle assembly gani?
Nimeuliza tu labda inawezekana imetokea tu kwamba kila kitu kinajengwa Kikuyu land kuanzia Highway to nowhere (Thika) mpaka sasa Car plant, labda Kikuyu land Mungu ameiweka strategically kwa makusudi ihudumie Kenya yote!
Lakini hata hivyo Kikuyu land bado ni kenya na nchi nzima itafaidika so hongera sana Kenya kwa kusecure hiyo deal!
mamarosa unajifanya unanajua lakini hakuna unachojua kuhusu Kenya, potelea mbali na uwivu wako wa kike. thika is a metropolitan area, utapata kila mtu huko, wewe unashinda hapa ukijaribu ku hate on everything Kenya but at the end of the day na resources zote mnazo mnakuwa overlooked kwenye mambo mengi ya maana, keep fooling yourself.
Hey man mbona nimewapa hongera kwa hili dili sasa kosa langu ni lipi tena au kwa sababu nimesema Kikuyu land? Mbona hili ni jambo la kawaida sana Kenya ni linaruhusiwa hata Universities kuna Viongozi wa Makabila, hata kwenye siasa kuna GEMA (Kikuyu, hizo herufi nyingine EMA sijui ni makabila gani ...), mimi girlfriend wangu anatoka Kenya ndiyo maana napata ishu za huko na nimefika mara nyingi tu!
kampuni kubwa zaidi ya ku assemble magari kenya inaitwa AVA ambayo inapatikana mombasa, nyengine ni ile ya general mortors ambayo iko mombasa road alafu na hio ya thikaHaha kila kitu ni Kikuyu land tu kwa nini siyo Kisumu au Mombasa? Hata hivyo hongereni kwa hilo!
Nina imani kabisa kuwa Kenya iko kwenye right path to development, tuna matatizo ambayo tunayashughulikia kama ufisadi, tukishamaliza mtatuonea mbali sana, naomba tuweza kuza nchi zetu ziwe mfano africa, hizi chuki na kuombeana mabaya haitomfaidi yeyote.
Thika road the road to nowhere? i am not sure there is any road that has traffic density that Thika road carries in a day in east and central africa even if we calculate with the pre-expansion numbers. So yes, that nowhere is a place with too many cars for our roadsNimeuliza tu labda inawezekana imetokea tu kwamba kila kitu kinajengwa Kikuyu land kuanzia Highway to nowhere (Thika) mpaka sasa Car plant, labda Kikuyu land Mungu ameiweka strategically kwa makusudi ihudumie Kenya yote!
Lakini hata hivyo Kikuyu land bado ni kenya na nchi nzima itafaidika so hongera sana Kenya kwa kusecure hiyo deal!
eti Kikuyu land kuna kila kitu nadhani utasema hadi airport??? acha kushobokea mambo usiyo yaelewa, Thika kama hujui ni industrial townNimeuliza tu labda inawezekana imetokea tu kwamba kila kitu kinajengwa Kikuyu land kuanzia Highway to nowhere (Thika) mpaka sasa Car plant, labda Kikuyu land Mungu ameiweka strategically kwa makusudi ihudumie Kenya yote!
Lakini hata hivyo Kikuyu land bado ni kenya na nchi nzima itafaidika so hongera sana Kenya kwa kusecure hiyo deal!
Hey man, ninawezaje kuiombea Kenya mabaya? Huko ni kama second home kwangu demu wangu anatokea Kenya na vile vile napenda Genge na Jua Kali nasikiliza muda wote, hata Jaguar naye nilikuwa namkubali pia!