A well fed woman goes to bed naked

haujapenda kucha umependa makebo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…,,, ndio wapo wanao weka na tupo ambao hatuweki
mm sio mlevi wa makebo.

Nimependa kucha.
Ila sasa uweke hata Hinna basi.
Sasa na vidole vyako hivyo vilivyo kama mbilimbi na huweki urembo, na jinsi unavyopenda kula kucha.

Hata haunogi ma mtu. Weka Hinna.
Ni sunna ya mtume. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Salaam alyeikum, Amein.
 
The thread should be closed.
 
hapo mwisho sasa dah๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…,,,

Hinna inanyonya dam labda nipake piko๐Ÿ˜œ
 
Msemo โ€œA well-fed woman goes to bed nakedโ€ kwa maana ya kawaida ya kimsemo unaashiria kwamba:


Mwanamke anayehisi ameridhika, anathaminiwa na anapata mahitaji yake vizuri katika maisha au kwenye mahusiano huwa hana sababu ya kujisitiri au kuwa na wasiwasi.


Lakini mara nyingi msemo huu hutumiwa kwa maana ya kimapenzi/kijinsiaโ€”yaani mwanamke anayefurahishwa na kutoshelezwa na mwenzi wake anaweza kuwa tayari zaidi kwa ukaribu wa kimapenzi.


Kwa Kiswahili unaweza kuufafanua kwa urahisi kama: โ€œMwanamke aliyeridhika hulala bila wasiwasi.โ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ