Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nukuu hii aliwahi kuitoa Hayati Nelson Mandela alipokuwa akiwapa moyo wapigania uhuru na wapinga ubaguzi wa Afrika Kusini kwa yote yaliyowapata kutoka kwa Makaburu.
Naomba niazime nukuu hii na kuipeleka kwa viongozi wa CHADEMA waliochukuliwa majumbani mwao na Polisi waliotumwa kwa lengo la kuwapa kesi ya kutunga ya Ugaidi ili kuwamaliza kisiasa na kimaisha (ili wafie gerezani)