kulikuwa na thread moja hivi ya kumpongeza member fulani kufikisha 30yrs ya ndoa nilibaki wow....nilivyokuwa namhic ni tofauti kabisa, sasa hii leo ya 70's...hahaha...hii ndio JF bana unaweza kuhic thread imeanzishwa na under age ukish2ka ni libaba/limama lizima....kha.