A woman who really needs a husband

Kama unatafuta meneja sawa subiri utampata..... Mke gani anatafutwa kipuuzi hivi eti any recognize institution nyooo tena university........ Kamuulize dingi ako wakati anamuoa maza ako mpaka unazaliwa unakua alitafuta mke kwa namna hiyo???
 
Ndoa za best zangu wasomi naona zoote zimeishia halijojo. Sisi la saba aaahh tunaendea kuishi.
 
u want a woman who's graduate and employed try your best brother u will have them
 
Change the heading and look for a female business partner, afu acha desturi za ovyo amka tongoza mwanamke hata kama ni humu, jenga hisia za mapenzi si hisia za biashara
 
Hii ni nafasi ya ajira bila shaka huyu jamaa yuko sekretarieti ya ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…