Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Dah!
Bora alcoholic kwa kweli.
Mlevi can be dealt with...Womanizer on the other hand is a big NO NO!Unless i'm looking for heartache!
Sio wote wako hivyo!!Mzee wangu hua anaongea sana na anakua mkarimu sana kwenye maswala ya pesa...mwingine haongei sana..mwingine kingereza ndo kinapanda..mwingine analala kwahiyo kama hao hawana matatizo yoyote!Hao wachafuzi wanalazimisha pombe wakati pombe haiwataki...WAACHE!Jamani!!!!!!!!!
Sasa alcoholic si kila siku atakuwa anakuchafua na matapishi yake pamoja na kujikojolea kitandani?
Hebu tafakarini upya Bana, mi nawahurumia tu kwa uchaguzi wenu..
Sio wote wako hivyo!!Mzee wangu hua anaongea sana na anakua mkarimu sana kwenye maswala ya pesa...mwingine haongei sana..mwingine kingereza ndo kinapanda..mwingine analala kwahiyo kama hao hawana matatizo yoyote!Hao wachafuzi wanalazimisha pombe wakati pombe haiwataki...WAACHE!
nilishakuwa na alcoholic na nimekiona cha moto, sitakaa nirudie kosa.
Hebu soma ushuhuda wa mwenzako huyu:
Halafu tafakari upya..
weee! Ajikojolee aone.Jamani!!!!!!!!!
Sasa alcoholic si kila siku atakuwa anakuchafua na matapishi yake pamoja na kujikojolea kitandani?
Hebu tafakarini upya Bana, mi nawahurumia tu kwa uchaguzi wenu..
Mlevi can be dealt with...Womanizer on the other hand is a big NO NO!Unless i'm looking for heartache!
None bora niwe lesb!