Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Mhhhhhh! MR ndiyo yamekuwa hayo tena!? Na hao kati ya womaniser hahahahaha na alcoholic utamchagua yupi? LOL!
Hahaha BAK kila mmoja hapo ana faida na hasara zake mie siziwezi hahah na hao lesb wakiwa hivyo itabidi nijihudumie mwenyewe :wink2::wink2:
Mhhhh! Lizzy akisharudi na mapombe yake huko alikopita si ajabu keshakachua nyumba ndogo halafu yuko mbwiiii na si ajabu kishajitapikia hata anasahau kama ana mke ndani ya nyumba...mke ana hamu ya kunanihii na mumewe lakini jamaa hajiwezi hata kuinua kichwa tu haiwezekani halafu hela yote ya kufanyia mambo ya kimaendeleo anaichakachua kwenye kilevi.
weee! Ajikojolee aone.
Bora huyo bwana kuliko womanizer.
Magonjwa mengi sahivi.
Huyo wa alcohol nitakuwa namnunulia makreti yake. Ajigide humo humo ndani.
Guyz!
These things go parallel. Asimia kubwa ya walevi ni womanizer
On the other side asilimia kubwa ya wasio walevi ni womanizer.
Wjoever says am wrong just prove me wrong.
Sio walevi wote wako hivyo BAK...
Mmh inawezekana naowajua sio walevi ehh?Sema kila mtu ana namna yake ya kubehave kwenye mambo kama hayo!Kama vile ambavyo mtu akikasirika kuna anaepigana..mwingine anatulia..mwingine analia ndivyo walevi pia hutofautiana!Unawajua walevi lakini Lizzy? anayekunywa kwa kipimo chake anachokijua na kuondoka na akili yake ikiwa timamu hatuwezi kumuingiza kwenye kundi la walevi.
Mmh inawezekana naowajua sio walevi ehh?Sema kila mtu ana namna yake ya kubehave kwenye mambo kama hayo!Kama vile ambavyo mtu akikasirika kuna anaepigana..mwingine anatulia..mwingine analia ndivyo walevi pia hutofautiana![/QUOTE]
Kweli kabisa Lizzy...nilikuwa na jirani alikuwa anamchukia mbwa wa jirani. Basi kila akilewa alikuwa haongei kingine ila huyo mbwa wa jirani na jinsi anavyopiga kelele kwa kubweka....Yaaaani! ilikuwa ni kichekesho cha hali ya juu maana huyu Baba alikuwa anadiriki kubweka kama mbwa kila alipokuwa anazungumzia. Mtaani ilikuwa ni kituko cha hali ya juu.
YouTube - Pink~Raise Your Glass LYRICS~New Single!!