A-Z Rich Mavoko kuondoka WCB - Mchawi Babu Tale na Sallam

mkataba wa miaka 10? huo mkataba wa kukod mgod
Rich mwenyewe kakiri diamond alikuwa anataka atoe nyimbo mfululizo ila yeye ndo hakuwa tayari

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya WCB, Harmonize na Rich Mavoko wanadaiwa kuwa na mkataba wa miaka 10 na WCB na mtu ambaye atataka kuvunja mkataba atatakiwa kulipa fidia isiyo chini ya tsh milioni 10. Lakini mikataba yao inaweza kubadilika muda wowote kutokana na mafanikio ya wasanii hao. Mikataba ya wasanii wengine imekuwa ni siri kubwa lakini nadhani umepata picha kwamba WCB ni label ya namna gani mpaka sasa.
 
soma vizuri..alitaka kokoro afanye collabo na Davido ili apae kimataifa..mond akakaza
 
Hivi wabongo mna shida gani na vijana wenzetu wenye mafanikio ?

Hizi chuki zenu za kibwege znawapunguzia lifespan.
 
soma vizuri..alitaka kokoro afanye collabo na Davido ili apae kimataifa..mond akakaza
Alitaka yy au alimwomba Diamond amuunganishe kwa Davido? Mbona hakukaza Rudi aliyofanya na Patoranking na video umeshutiwa na Moe Mussa London UK.Diamond angekuwa mkazaji basi Shetta asingefanya Shikorobo na KCEE na Madee asingefanya nyimbo na Teckno, Maphorisa, hizo collabo zote mond ndiye aliye connect.
 
Last edited:
So mijadala yote negative ina maana ni wivu wa success au
 
So mijadala yote negative ina maana ni wivu wa success au
Yeah unajua ambacho kinatusumbua sie wabongo ni wivu wa kwanini yeye kafanikiwa? Mara wamzushie freemason, mara shoga, mara cjui mchawi, ilimradi tu wamejickia kumnanga tu kijana wa watu lakin hawafikirii kuwa hata wao wananafasi ya kuhustle na kuzfikia level za mond...
 
Mavoko soon atakuwa juu kama yote, subiri Boss Ruge apone muone, NASEMA subiri Boss Ruge afanikiwe kupona muone kampeni za kumkabidhi Mavoko kiti cha ufalme zitakavyo-damshi.
Hakuna jambo baya kama kumtumainia mwanadamu mwenzio
Huyu Ruge anatofauti gani na hao kina fella?
 
Huyu mleta mada ni dhahiri ana lake moyoni tu, Mavoko kabla ya kuingia WCB alikuwa ashapotea kama vile kaacha mziki, Leo unasema alikuwa top wakati WCB ndo kafufukia.... Mavoko na Bob Junior binafsi kwa maoni yangu walikuwa sawa kwa kipindi hicho.....

Ongea yote ila si kudai Mavoko kapotea alipoingia WCB , pale walau palimrudisha kwenye ramani ya mziki.
 
Hizi ni porojo tu za kwenye kijiwe cha kahawa
 
Mavoko amerogwa na Diamond la sivyo sasa hivi angekuwa kama Michael Jackson 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…