Aaaaa....!!Hii nini sasa.......!!!

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Kuna demu flani hapa mtaani, next wiki anaolewa. Ni demu wangu wa kitambo sana. Ameshaniaga kuwa anaolewa.

Jana amenitumia sms kuwa japokuwa anaolewa ila hatoniacha. Bado ananipenda sana. Na dozi zangu hatozisahau, na anatamani ziendelee.

Hapa najiuliza
Hivi nyie wanawake mna wendawazimu?. Kwanini ukubali kuolewa na mtu usiyempenda.

Mnakera sana, Heshmuni waume zenu.

Akijileta mi natandika.
 
Mbona una adress wanawake wote!ww muongelee huyo kicheche wako tu,siyo wote!
 
Mbona una adress wanawake wote!ww muongelee huyo kicheche wako tu,siyo wote!

yeye anasimama kuwawakilisha binadamu wote wa jinsia yake. Samahani kama nimekukwaza.
 
huyo demu anaitwa nani vile?? Mwananjaa?

anaanzwa na alphatbeti mkuu. Amenikera sana.

Najiuliza je mke wangu naye anafanya huu upuuzi?. Kichwa kinauma.
 
Mtu mmoja hawezi kusimama kuwakilisha mamilioni ya wanawake!

anyway, vyovyote vile ila namaanisha mwanamke. I will never trust them any more.
 
Sa we mzee unalalamika nin?we twanga tu bana,sa kama kitumbua kinajileta chenyewe utakifanyaje zaidi ya kukila!
 
Ungemtumia yeye huo ujumbe ungekua umefanya la maana kweli badala ya kujifanya umemaind hapa huku huko mtaani kwenu unamchekea na sio ajabu ukampa anachotaka.

Na khusu "wanawake kuwa na wendawazimu " take it back. . . huyo demu wako wa kitambo ndie mwenye wendawazimu
 

Well said Lizzy!
Huyu jamaa ni ''full mikoroganyo'' kwenye hiyo thread yake, mara dem anaolewa, yeye eti anachanganyikiwa. Tena eti mkewe labda naye anagongwa, alafu tena hata waamini tena wanawake. Bro maisha ni kama kioo, unavyofanya na yenyewe yanakujia kama ulivyofanya. Uki waamini hao wanawake nao watakuamini, ukigonga nje wakati una mke, jua na wa kwako pia anagongwa. Tia akili kwa hayo na uchanganye na ya kwako.
 
Wala sio kitu cha kuongea polepole kuna demu nilikuwa nae kitambo na akaolewa.......jana kanipigia anataka nikampe dozi. Alimwambia jamaa yake anaenda kwa shangazi yake, ilibidi mpaka nizime simu maana ilikuwa ni kero sasa anapiga kila dk 2 anaulizia kama tutaenda.....
 
Bila shaka huyo Demu atakuwa ni wa Kwa Mtogole..........................!
 
Kiongozi mbona hii ishu umekaa kama unajifagilia tu? Unapenda watu wajue kuwa una dose nzito sio? Haya bwana, hata hivyo hao wanawake uliolenga humu JF naona wote wamekumaind na kukupa za uso, Kajipange uje tena...........
 
CRAP posts as always ka huna cha kupost acha kujaza server.
 
uuuwwwiiiii...... eti dozi zako kal!!!i
 
Mmmh! Huyo dem muuza vitumbua au? Ndy wengi wako hivyo namie nnae muuza samaki, keshaolewa lakini najipigia mbupu tu kwa uulaaiiyynii
 

We ni Mzee usiye na BUSARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…