Aaaaa....!!Hii nini sasa.......!!!

anaanzwa na alphatbeti mkuu. Amenikera sana.

Najiuliza je mke wangu naye anafanya huu upuuzi?. Kichwa kinauma.

Kumbe na wewe ni mpuuzi kama huyo msichana kwanini umeoa halafu unazini na msichana mwengine?
 
mliwa naye uliwa,,,wakwako nae atashikishwa ivyo ivyo
 
Kama wewe unafanya na mkeo anafanywa vilevile....so the saying go.
anaanzwa na alphatbeti mkuu. Amenikera sana.

Najiuliza je mke wangu naye anafanya huu upuuzi?. Kichwa kinauma.
 
asikudanganye, masaki na kwa mtogole siku hizi ngoma droo labda maingilishi tu ndo masaki wanatushinda.

Tena sie tuna faida nyingi, hatuna gharama, tumechezwa, twajua kazi za nyumbani, tunazaa kama nzige afu kawaida.

teh teh teh mkuu kwani mademu wa pale wako vipi?mana nakaribia kuoa nisijekuoapo wa huko ikawa tabu.
 
Ndio zao hao has wakifika muda fulani ambao wao wanaamini kuwa ni wa kuolewa na wakipitisha hapo hawataolewa tena. Huwa wanakamata yeyote yule lakini huwa ma ex wanakumbushia kama kawa. Lakini hata wanaume nao huwa hawaachi outreach zile za kabla ya ndoa na pengine huongeza nyingine fasta
 
sukuma ngozi tu mzee,ila usingeoa maana mkeo naye atakuwa anaendelea kumuhudumia my ex bf wake wa ZAMANI.Nalog off
 

mpashe apashike huyo.. Lol.
 
Heh heh wanabeijing wana ghazabu c kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…