Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

Anaishi mkoa gani ili niwashtue mashoga zangu wasije kuvaliwa?
 
tumwombe mungu atuepushie dada zetu na wachumba zetu maanake du !!! sijui kama tutapona.
 
Huyo ndo wale waamerika wawaita "P L A Y E R S" , Poleni kina dada, safari hiiii Mhhhhh, sijui nani atamvika KENGELE!!, Kwa kupenda kwenu mambo Artificial, mbona Hampendi vijana wako tele wasio na macheni ya dhahabu lakini mapenzi ya kweli??????.
 
anawamaliza wale wapenda vya dezo bila jasho...
 
Halafu sijui ndie huyu niliyekutana nae juzi kati.
Kuonana tu ananitangazia ndoa.
Kha!
 
:A S 13::A S 13:God Forbid.....tuwe makini jamani,dunia imejaa matapeli.....ila tuwe pia tunachukua muda kuwafahamu hawa viumbe......kabla ya kuwaruhusu kuwa sehemu ya maisha yetu kila siku kwa kuishi nao na kuwapa heshima zote.....
 
...imagine?! lakini anawapata hao wajinga 'wajinga wenziwe' walio desparate kuvishwa engagement ring, kumbe mwenzao ana cheki standards kama 'mwakilishi mkaazi wa "TBS" '. I wish watu kama hawa mngekuwa mnawaweka hadharani;

HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?
 
HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?

Kuna watu wanacheat sio khawawapendi wenzao bali ni hulka tu, sasa inapokuja kwamba either ubebe bango au mimi na wewe basi anachagua kubeba bango cause hayuko tayari kuachana na mwenzake. Sasa hapo kama mlikuwepo kwa kuoneana huruma bila mapenzi unafikiri mtu atabeba bango??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…