Aaagh: penzi au....

Aaagh: penzi au....

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Inatokeaje mwanaume au mwanaume unakuwa na wapenzi weng? Huoni kinyaa? Kila pahala wako, JF, FB, DHW na kwingineko unao wapenzi na unashare nao mwili wako! Unatafuta nini hasa? Starehe? Pesa? Au what...? Inatia kinyaa na kichefuchefu kushare iyo ki2 bhana. If ur a man imagne unapotia kaulimi kako kuna m2 mwingne alimwaga sperms zake dk chache zilizopita au we dada imagne mdomo unaoukiss dk hii umetoka kunyonya naniliuh ya mwenzako..! Aaaagh! Inatia kinyaa...cheating inachefua hasa ukiwaza what ur doing he/she has done it with another lover few hrs ago! Wale wapenda onja onja acheni mwayafanya mapenzi yawe kinyaaa bhana....!
 
Mkuu utamu wa samaki ni shombo lake.
 
Hupendi hizo tabia eeh?.......I wish....
 
Hawana tofauti na mbuzi hao!
 
Inatokeaje mwanaume au mwanaume unakuwa na wapenzi weng? Huoni kinyaa? Kila pahala wako, JF, FB, DHW na kwingineko unao wapenzi na unashare nao mwili wako! Unatafuta nini hasa? Starehe? Pesa? Au what...? Inatia kinyaa na kichefuchefu kushare iyo ki2 bhana. If ur a man imagne unapotia kaulimi kako kuna m2 mwingne alimwaga sperms zake dk chache zilizopita au we dada imagne mdomo unaoukiss dk hii umetoka kunyonya naniliuh ya mwenzako..! Aaaagh! Inatia kinyaa...cheating inachefua hasa ukiwaza what ur doing he/she has done it with another lover few hrs ago! Wale wapenda onja onja acheni mwayafanya mapenzi yawe kinyaaa bhana....!
unakuwa kama unabadilsha ladha ya juice, unatoka kunyonya ya mango, unakuja ya orange, then apple, then pawpaw, then........
 
sabry001 una mawazo kama yangu,afu sijui tupo ndugu mbona tunafanana sana kifikra?unajua nini,ukihisi mumeo anacheat,hamu inakuishia na unaweza lala nae mwaka bila kumgusa coz kinyaaaaaaaaaaaaaa,ukifikiria labda katoka kunyonywa nanilino na mtu tene malaya then na mimi nifanye hivyo mwe hamu yote inarudi mbinguni! watu hawajui kuwa mapenzi ni ubinafsi jamani,tena na ukimwi huu ndo uwiiiii kinyaaa tupu,hebu acheni hizo jamani
 
Kinyaa cha nini tu ..
Anayekula yai viza ni mwingine lakini we
Ndo unae tapika pole sana..
 
sabry001 una mawazo kama yangu,afu sijui tupo ndugu mbona tunafanana sana kifikra?unajua nini,ukihisi mumeo anacheat,hamu inakuishia na unaweza lala nae mwaka bila kumgusa coz kinyaaaaaaaaaaaaaa,ukifikiria labda katoka kunyonywa nanilino na mtu tene malaya then na mimi nifanye hivyo mwe hamu yote inarudi mbinguni! watu hawajui kuwa mapenzi ni ubinafsi jamani,tena na ukimwi huu ndo uwiiiii kinyaaa tupu,hebu acheni hizo jamani

.........hiyo si kwenu tu wa/ke bali ata sisi wa/me,ukihisi tu kuwa unachakachuliwa,basi wakati wa ku-DO-,stimu inashuka from 100% to 0%! Someone can try guess what next...........!

Mungu aturehemu!
 
nimependa uo msemo ,ni kweli utamu wa samaki ni shombo lake,, lakin ,, halahala na mwiba,, tu,,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hiyo ni sawa na kupiga rmx ya national anthem...shombo lake labda aogee JIC
 
Back
Top Bottom