Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Mtu Mwenyewe ameondoa Familia yake Nchini halafu anataka achochee Machafuko ili Nchi ikiwaka Moto yeye apande ndege na kukimbilia Ulaya .

Inapaswa aendelee kukaa ndani tu
Ndio maana nasisitiza sana,
huyo muungwana hastahili kua huru hata sekunde moja, na nina hakika itakua hivyo
 
Yes,
Mabwenyenye wanamkubali sana kwasababu ni kibaraka wao πŸ’
Hao Ndio wamekutengenezea simu,pasi,vipo, magari nk ndio upo hapa kubwabwaja,hata president kasema tufunge mikanda Maana mabwenyenye,wamebana Fedha zao!
 

Mzima lakini...nani tena kaishiwa pawa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ulimwenguni kumejaa dhiki
 
huenda wengine watakua wamekuelewa vizuri zaidi gentleman πŸ’
 
Jaribu kulopoka huo ujinga mtaani kwako uone watavoku...au basi
Gentleman,
ukweli huelezwa kokote bila kificho na bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule ndani au nje ya JF πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…