Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Kaa vizuri zikuingie,mnachokoza mada mnabaki wanne Katika Watanzania mamilioni,very shame!
acha porojo gentleman,
toa mawazo yako mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
 
Wewe unafaidika na nini wengine kuwekwa mahabusu bila hatia kwa muda mrefu.
 
acha porojo gentleman,
toa mawazo yako mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
Sawa, anatoka TAL gerezani na tutakuwa nae sokoni, majukwaani, kwenye ibada hata wasiompenda kama Wewe watamuona, Maana Nchi hii ni yetu sote!
 

Wamuue kabisa,
Maji yaanze kutoka 24hrs, na Mashimo kwenye barabara yapungue
 
Kwako unaona raha tu watu wananopouwawa na wanapoondolewa kwenye sanduku la kura ili ccm ibaki peke yake?
 
We jamaaa Hiv ni wakike au wakiume
 
Kwako unaona raha tu watu wananopouwawa na wanapoondolewa kwenye sanduku la kura ili ccm ibaki peke yake?
in fact,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ni raha gentleman na si vinginevyo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…