Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Sikubaliani na maoni yako.

Amandla...
 
Mashahidi wengi wamekaangwa vipi nawewe unataka ukatoe ushahidi?
 
Maneno Unayatupa Haya
Aibu Utaona Wewe
 
Lisu sio muhalifu,
Unataka kumpa jina baya kwa maslahi yako binafsi.?
 
Lakini Gentleman Ukipunguza Mipasho Lumumba FC Watakulipa Posho Yako
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi hakuhitaji posho wala malipo yoyote gentleman.

Neema na Baraka za Mungu zatosha πŸ’
 
Angalia kailizako utaiingiza nchi kwenye machafuko na wewe ukiwa umechangia,mchango wa wa 29,October unakusubiri siku ya Mahkama.
 
Wewe na nabii Tito mnatofautiana kidogo sana. Sema watu hawajakushtukia. Ukiulizwa ni mhaligu kwa kosa gani huwezi kujibu.
 
Angalia kailizako utaiingiza nchi kwenye machafuko na wewe ukiwa umechangia,mchango wa wa 29,October unakusubiri siku ya Mahkama.
Utachafuka wewe gentleman, be careful πŸ’
 
Wewe na nabii Tito mnatofautiana kidogo sana. Sema watu hawajakushtukia. Ukiulizwa ni mhaligu kwa kosa gani huwezi kujibu.
ni kama wewe na fisadi heche mnafanana sana uropokaji na mihemko useless huku mkiwa always pointless πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…