Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha AAFP, Said Soud Said amesema akipata madaraka ya kuiongoza Zanzibar atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na serikali.
Amesema hatua hiyo itapunguza matukio ya ubakaji ambayo yamekuwa yakirekodiwa Zanzibar. Hivyo basi amesema katika serikali yake, kijana akitaka kuoa aende serikalini na serikali itashughulikia
Ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa Kampeni Zanzibar