Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mahari yanategemea na mume mwenyewe ;DKwani kuoa Zanzibar mahari shilingi ngapi?Nijilipue kutafta mke huko[emoji1787]
Kuna majitu Yana akili za kuvukia barabara tu. Sasa mgombea urais anakuwa mpumbavu kiwango Cha uprofesa.Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha AAFP, Said Soud Said amesema akipata madaraka ya kuiongoza Zanzibar atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na serikali.
View attachment 1604528
Amesema hatua hiyo itapunguza matukio ya ubakaji ambayo yamekuwa yakirekodiwa Zanzibar. Hivyo basi amesema katika serikali yake, kijana akitaka kuoa aende serikalini na serikali itashughulikia
Ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa Kampeni Zanzibar