Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,763 Reaction score 766 Apr 7, 2012 #1 Kwa wale walio jirani na tv hivi sasa angalia Eatv muda huu mahojiano kati ya Salama na Lulu. Mtoto mdogo mambo mazito.
Kwa wale walio jirani na tv hivi sasa angalia Eatv muda huu mahojiano kati ya Salama na Lulu. Mtoto mdogo mambo mazito.
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Apr 7, 2012 #2 Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu. Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon
Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu. Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon
K Kiumbo JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 560 Reaction score 123 Apr 7, 2012 #3 Kanajishaua sana sasa atakiona kumbe ndio alivyo kuwa anajibu kitoto kweli na picha zake za utupu bado.
Kanajishaua sana sasa atakiona kumbe ndio alivyo kuwa anajibu kitoto kweli na picha zake za utupu bado.
D Dj phil New Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Apr 7, 2012 #4 helo...guyz...huyo lulu 2memxoma kwenye mkas lakn twatakajua huko polis mpango mzma inakuaje?
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,763 Reaction score 766 Apr 7, 2012 Thread starter #5 KARANKA said: Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu. Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon Click to expand... Ni kufanya yaliyo mema sababu hatujui siku wala saa. Hakika dunia tambara bovu! Dj phil said: helo...guyz...huyo lulu 2memxoma kwenye mkas lakn twatakajua huko polis mpango mzma inakuaje? Click to expand... Kama unavyojua issue za polisi mkuu haziendi haraka namna hiyo. Ni kusubiri tu...
KARANKA said: Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu. Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon Click to expand... Ni kufanya yaliyo mema sababu hatujui siku wala saa. Hakika dunia tambara bovu! Dj phil said: helo...guyz...huyo lulu 2memxoma kwenye mkas lakn twatakajua huko polis mpango mzma inakuaje? Click to expand... Kama unavyojua issue za polisi mkuu haziendi haraka namna hiyo. Ni kusubiri tu...
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,763 Reaction score 766 Apr 7, 2012 Thread starter #6 Kiumbo said: Kanajishaua sana sasa atakiona kumbe ndio alivyo kuwa anajibu kitoto kweli na picha zake za utupu bado. Click to expand... ....inasikitisha sana mkuu.
Kiumbo said: Kanajishaua sana sasa atakiona kumbe ndio alivyo kuwa anajibu kitoto kweli na picha zake za utupu bado. Click to expand... ....inasikitisha sana mkuu.
M muheza2007 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 483 Reaction score 771 Apr 7, 2012 #7 Naomba link ya mahojiano ya huyu Lulu