Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18.
Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
View attachment 1993296
[emoji23][emoji23][emoji23] ushabiki raha sanaItakuwaja save bora ya msimu angali bado msimu haujaisha?
Ina maana hakuna uwezekano wa kutokea saves nyingine bora zaidi ya hiyo katika mechi zinazoendelea?
Yangetumika maneno mengine labda save ya wiki, lakini kusema ni ya msimu hata kama inasemekana si sahihi!
Aiseeee !Washika mututu wanasema huyo kipa ni Akina de gea kumi