zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nimemsikiliza kwa makini sana kwenye mada za bunge la Kenya na pia midahalo mbalimbali ikiwemo ule wa Leo dhidi ya woman rep. wa Nyanza to be honest this guy is so bright and a promising leader ila alifanya miscalculations kuhama upinzani wakati anajua wazi ametokea kwenye stronghold ya upinzani
hili liwe fundisho kwa wanasiasa vijana kutojiona MIUNGU WATU kisa umaarufu wa kisiasa na wajifunze patience ili wafikie malengo i just hope he will bounce back maana katika wanasiasa wote wa upinzani hyu yupo bright sana hasa kwenye kujenga hoja