zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
But do u think he made a ryt move to dump the party which groomed him that led to his downfall at the August 8 electionsWalimzima Namwamba kama mshumaa kwenye kile chama cha Raila Odinga walipoona nyota yake inazidi kung'aa ndani ya chama kisa tu yeye si mjaluo. Nilimkubali sana hata akiwa upinzani, alikuwa mwenyekiti wa ile kamati nyeti ya P.A.C Public Accounts Commitee. Walimfukuza asikudanganye mtu! Very sharp man!
His exit was eminent after he declared his interest in the Secretary General post in ODM. Which he was going to win very easily. They disrupted the election remember. The post was held then by Anyang' Nyong'o, close ally of Raila from Nyanza! One way or another he was going to lose out! I dont know if it would have been the right decision for him to stay though.But do u think he made a ryt move to dump the party which groomed him that led to his downfall at the August 8 elections
But do u think he made a ryt move to dump the party which groomed him that led to his downfall at the August 8 elections
zitto kabwe alitimuliwa hakuondoka na tofauti na ababu zitto alibaki opposition hakusupport CCM kwenye uchaguzi wa 2015 na ndio maana hakufa kisiasa unlike namwamba ambaye naona kma atakufa kisiasaWewe hapo hebu tuambie nini sababu za Zitto Kabwe kuhama kutoka CHADEMA 'the party that groomed him'....Your own words.
zitto kabwe alitimuliwa hakuondoka na tofauti na ababu zitto alibaki opposition hakusupport CCM kwenye uchaguzi wa 2015 na ndio maana hakufa kisiasa unlike namwamba ambaye naona kma atakufa kisiasa
zitto kabwe alitimuliwa hakuondoka na tofauti na ababu zitto alibaki opposition hakusupport CCM kwenye uchaguzi wa 2015 na ndio maana hakufa kisiasa unlike namwamba ambaye naona kma atakufa kisiasa
I didnt mean unatakiwa ubaki oposition ili uweze kushine kwenye siasa what i meant is the political base of where ur comin from mfano peter munya angeenda NASA angekufa kisiasa sababu wameru hawatowahi mpigia kura odinga ama NASA huwa wanasupport wakikuyu hivyo 2022 asingerudi kwenye seat yake vilevile namwamba anatokea kwenye base ya upinzani and thats wea my point falls na hizo mathematic ndio alizozifanya zitto na pia mohammed ali wa nyali maana wangeenda jubilee ama CCM wangekufa kisiasa sijui nimeelewekaMkuki kwa nguruwe mchungu kwa binadamu.... Fahamu hata naye Ababu alitamaushwa na uongozi wa chama chake cha upinzani kama ilivyokua kwa Zitto.
Halafu hii dhana kwamba nyota yako ya siasa inang'aa tu pale ukiwa kwenye upinzani imepitwa na wakati, unaweza ukakua kisiasa popote pale ilmradi una malengo yako, msimamo dhabiti na utashi na uzalendo kwa ajili ya nchi...basi.
Fahamu hata mlengo wa serikali sio kwamba ni wa mashetani ila upo umejengwa na raia wa nchi na wenye nia njema.
Mimi nilikua naunga mkono upinzani miaka ya themanini na tisini na nilihusika kwenye maandamano ya kila aina, tuliaminishwa kwamba wote serikalini sio watu na hawafai, lakini baadaye upinzani walipochukua uongozi ndio nikaja kujua hamnaga kabisa, yaani kila kiongozi yupo na maono na sababu zake.
hapana I disagree unajua kma wameweza kumpa wanjala a 3rd term kivp wamnyime namwamba and even the gap was small partly due to the divided sides of the opposition in the area I believe kma angebaki ODM angekuwa MP bado anayesubiri kuwa gavana 2022 but ryt now jubilee watamtupa maana wameona hana impact sababu kma jimboni kwake anaanguka je kivp 2022 atawasaidia kupata kura za mulembe???Namwamba comes from budalangi,a constituency whose people are known not to elect a person for more than two terms,and he knew that this time round whether he is in ODM or out of ODM its not going to be a walk in the park therefore he had to make a decision. His star is not deemed you will see a firebrand Namwamba 2022. Remember odm is going to die should raila lose the October 17 elections.
His exit was eminent after he declared his interest in the Secretary General post in ODM. Which he was going to win very easily. They disrupted the election remember. The post was held then by Anyang' Nyong'o, close ally of Raila from Nyanza! One way or another he was going to lose out! I dont know if it would have been the right decision for him to stay though.