yote ni "Moral corruption". Yani mababa mazima yanakaa kumsubiri binti na kumbaka mpaka kumuua. Yani hata hawafikiri kuwa unapombaka mtu, huyo ni mtoto, dada, shangazi, mama wa mwenzako. Nadhani kichwa cha habari kinajitosheleza, kubakwa kunaweza kusababisha kifo hata kama mtu hajawekewa matambara. Tukumbuke tendo la ndoa linahitaji hisia ili liweze kufanyika, sasa mtu akibakwa hajajiandaa kwa hilo tendo hupata madhara makubwa sana sehemu zake nyeti, pia kuna mshtuko pamoja na ule mfadhaiko, vyote hivyo vyaweza sababisha kifo. Sasa na matambala juu, kweli kizazi kinapotea.