abakwe mumeo au abakwe mkeo?

abakwe mumeo au abakwe mkeo?

XOXOQY

Senior Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
193
Reaction score
54
Jambazi limeingia chumbani kwenu mkiwa mke na mume huku likiwaonyeshea bastola linawaabia lazima limbake mmoja wenu kati ya mke au mume,ungekuwa wewe ni mmoja kati ya wanandoa hao ungekubali ubakwe wewe au ungemsukumia mwenzio?
 
Jambazi au bakaji? rekebisha post yako kwanza. jambazi huwa halipotezi muda kufanya ujinga.
 
dahhhhhhh
maswali mengine bwana
kwa nini unauliza au una wish
kitu ambacho ni maumivu na
kitaacha machungu kwa binadamu mwenzio??
 
Jambazi limeingia chumbani kwenu mkiwa mke na mume huku likiwaonyeshea bastola linawaabia lazima limbake mmoja wenu kati ya mke au mume,ungekuwa wewe ni mmoja kati ya wanandoa hao ungekubali ubakwe wewe au ungemsukumia mwenzio?
<br />
<br />
Welcome bak BOFLO.
 
shetani huyu anawaza mambo mabaya kichwani mwake mda wote .
 
Jambazi limeingia chumbani kwenu mkiwa mke na mume huku likiwaonyeshea bastola linawaabia lazima limbake mmoja wenu kati ya mke au mume,ungekuwa wewe ni mmoja kati ya wanandoa hao ungekubali ubakwe wewe au ungemsukumia mwenzio?

pole kumbe ndo wewe, nilisikia polisi wanaendelea na uchunguzi,kwa hiyo baada ya hapo ikaweje?
 
Au ulisukumiwa wewe nini mkuu, unataka majibu ya kukupa ahueni.
 
Jambazi limeingia chumbani kwenu mkiwa mke na mume huku likiwaonyeshea bastola linawaabia lazima limbake mmoja wenu kati ya mke au mume,ungekuwa wewe ni mmoja kati ya wanandoa hao ungekubali ubakwe wewe au ungemsukumia mwenzio?
Si ajabu jambazi lenyewe ni weye, ila ungebakwa wewe tu!
 
Back
Top Bottom